40 years of age?!!!!!!!!!!!!!! nimebakisha miaka kumi tu nizeeke ivyo? basi kweli life expectancy inazidi kushuka, watakaozaliwa watakuwa wameshabalehe na kila kitu wanaelewa
kaka hizo ni njia za kujionyesha kuwa wana-vyanzo sahihi vya mapato ila kuna vitu vyao nyuma ya pazia...kwani r-aziz hatumjui anavyojipatia utajiri??...wekeni wazi vyanzo vya mabilioni yao ikiwamo kuua uchumi wa taifa letu kwa manufaa yao binafsi.