kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,686 Mar 30, 2013 #1 Leo tena timu ya African Lyon inayosuasua (timu nyingine wamezoea kuwaita VIBONDE) leo watakuwa wakisaka pointi tatu mbele ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Leo tena timu ya African Lyon inayosuasua (timu nyingine wamezoea kuwaita VIBONDE) leo watakuwa wakisaka pointi tatu mbele ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.