Unaweza kuangalia concert hii yenye lengo la kukusanya michango kwa ajili ya chakula na mahitaji ya kiafya kwa ajili ya familia zilizoathirika na COVID-19 barani Afrika
Ilishaanza tangu saa Moja YouTube
Nandi kazingua kakaa tu kwenye kijikochi manyoya anaimba Wimbo kivuruge ule wa longtime.
Diamond ndio kamaliza kutumbiza jeje mda si mrefu. Very creative diamond amekua kwenye jeje yake.