African Beat

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803



President Kagame with daughter, Ange Kagame pose for a photo with President Barack Obama and First Lady, Michelle Obama at a U.S-Africa Leaders Summit dinner at the White House








 
Kuna tetesi kwamba Obama amesema hakumbuki jina la rais wa Tanzania
 
Wanasema Mastaa wa Basketball na Hollywood ndo wanarusha ndoano zao kwa sanaa... Yote tisa, akikutana na JK lazima mgogoro utaisha!!! Nahisi Kagame amefanya makusudi kwenda na huyo bint!!! Mama Salma akizubaa tu, imekula kwake lol!!!
hiyo wanaita wacheni Mungu aitwe Mungu. Obama hachelewi kupeleka posa hapo...
 
Wanasema Masters wa Basketball na Hollywood ndo wanarusha ndoano zao kwa sanaa... Yote tisa, akikutana na JK lazima mgogoro utaisha!!! Nahisi Kagame amefanya makusudi kwenda na huyo bint!!! Mama Salma akizubaa tu, imekula kwake lol!!!

Hhahahahahah na hii ni kweli ila nimeona mara nyingi kagame asiposafiri na mkewe huwa anasafiri na binti yake.
 
mkulu ndiyo mambo anayoyapenda haya..yani katika kuuza sura,au vipi
 
Hhahahahahah na hii ni kweli ila nimeona mara nyingi kagame asiposafiri na mkewe huwa anasafiri na binti yake.
anajuwa muda wowote wanaweza kupotezwa kwenye nchi yake. ndo maana angalau anatembea na mmoja hata lover wake mmoja akipotezwa basi abaki angalau na mmoja.
 
ningeshangaa kama nisingemuona JK kwenye uzi huu!
 
Maraisi 50 wa Afrika wapo marekani kwa mwaliko wa Obama, wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wanadai kuwa wengi wa maraisi hao wameenda huko bila mipango mkakati yao (strategic plans), hivyo inaonekana wanafurahia kupiga picha na Obama bila kuangalia kuwa ni mwanzo wa kumkabidhi mmarekani rasilimali za nchi.
My take:
"USA has no permanent friend but permanent interests"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…