Ndio Mlivaa Mbele MBet. Ila mkononi Visit Rwanda. Ila collar zilikua tofauti sio kama za Ligi Kuu.Hivi Simba jana tulivaa Visit Rwanda kwenye jezi zetu?
Ndio, visit rwanda anakaa mkononi.Hivi Simba jana tulivaa Visit Rwanda kwenye jezi zetu?
Kuna link yoyote ya kuchekia?Hii ni moja ya mechi nzuri sana
Azam Sport 2 HD ila TANESCO saa 12 kamili wamechukua chao hapo nilipoHii game ipo channel gani?
Channel gani inaonyesha?Mchezo umeanza
Dakika ya 4 now