zipo kwenye halmashauri nyingi tu watu wanakaimu ambaopo wengina hawana hata sifa, Taarifa za walimu wenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kushika nafasi hizo zimeshapelekwa TAMISEMI ambao ndio mamlaka ya uteuzi wa watu hao kwa bahati mbaya utaratibu wa kuwateua nao unachukua muda sana TAMISEMI. huwa hazitangazwi ili watu waombe ni nafasi za uteuzi, kwa mfano kwenye halmashauri nyingi mpya zilizoanzishwa hivi karibui bado hawajateuliwa