Serikali itàkayo waamini Talibans itakuwa na yenyewe imekosa weledi!
Isingekuwa na tofauti ya kumuamini "Joseph Konyi" ingetokea kuipindua serikali ya Uganda!
Kama Afghanistan inazo resources za kung'ang'aniwa na mabeberu then China na Urusi zitawasaidia but kama hazina hizo rasilimali (hasa gas ) then wao watakua walifanya nao biashara ya silaha na sasa hawana maana tena; hi ndio tabia halisi ya mabeberu yaani
Walidhani bado wapo mapangoni wanatumia tochi,wajinga sana hao majamaa,nchi haina dawa,serikali haina pesa,ISIS nao wanashambulia,umeme ndio huo unakatwa muda wowote
Badala ya kushughulika na mambo ya msingi wao wanahangaika na kufuga ndevu tu