si kweli kuwa solar product ya kawaida ya kwasha taa moja inagharimu laki tano kama muuzajia anavyotaka tuamini.Mimi nina solar inayowasha taa 10,tv,radio,ina inverter,Betri n100,solar panel mbili kila panel 150watts.For your information,gharama ya mfumo mzima pamoja na fundi na kununuu all the implements ,haikuzidi milioni moja na nusu.Na ni last year
tu.
Pia,nakumbuka in the last post,bei ya one kit ilikua 55,000shs.How comes all of a sudden bei ya the same product imepanda kwa asilimia 18 ?
Unaweza kunisaidia kuhusu hilo muuzaji?
Asante.