fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Jan 22, 2024 #1 afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule
afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,907 Reaction score 40,559 Jan 22, 2024 #2 fimboyaasali said: afcon inataka kicha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Ilimradi umeanzisha thread?
fimboyaasali said: afcon inataka kicha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Ilimradi umeanzisha thread?
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Jan 22, 2024 Thread starter #3 Bila bila said: Ilimradi umeanzisha thread? Click to expand... maudhui yangu hukuona yana tija?
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,753 Reaction score 18,782 Jan 22, 2024 #4 fimboyaasali said: afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Acha lawama Bora kocha mzawa kuliko yule mbuzi amroche
fimboyaasali said: afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Acha lawama Bora kocha mzawa kuliko yule mbuzi amroche
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,707 Reaction score 109,243 Jan 22, 2024 #5 Wabongo mna NONGWA boli limetembea jana, changamoto ni akili ya wachezaji wenu, mentality yao baada ya lile goli na kadi nyekundu ni kwamba wamemaliza mechi. Ile nguvu, upambanaji ukapungua.
Wabongo mna NONGWA boli limetembea jana, changamoto ni akili ya wachezaji wenu, mentality yao baada ya lile goli na kadi nyekundu ni kwamba wamemaliza mechi. Ile nguvu, upambanaji ukapungua.