ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
..mimi nilikuwa mshabiki wa Gor Mahia enzi zile za kina John Bobby Ogolla, Peter Otieno "basanga", Sammy Onyonga "jogoo", Abbas Magongo "zamalek" etc etc.
..Upande wa AFC kulikuwa na kina Mahamoud Abbas "kenya one",Josephat Mulira "controller", Francis Kadenge, Dr.J.J.Masiga, etc.
..enzi hizo huwezi kukuta Jaluo anachezea AFC Leopards. sasa katika hii mechi nimeona kituko kwamba goli la AFC dhidi ya Gor limefungwa na Peter Opiyo!!!
cc Koborer, Kabaridi, Ab-Titchaz

Ina maana zilishuka daraja?Timu hizi mbili zimefufuka baada ya kuwa katika hali ya kukosa fahamu kwa muda wa miaka kumi. Sasa kiwango cha game ya Kenya itaanza kupanda kuanzia CECAFA 2013.
Timu hizi zilishuka daraja na zilikuwa karibu kuwa disbanded