Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Kuna second selection ambayo watoto wengi watakwenda /wameshakwenda private na hivyo kutakuwa na uwezekano wa kupata kwa pass zake!Ndugu wanaJF,
Kuna dogo langu anahitaji msaada wa mawazo afanyeje baada ya kutochaguliwa?
Amehitimu kidato cha nne mwaka jana ila amekosa sifa za kuchaguliwa kidato cha tano na matokeo yake yapo HIVI DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D na alifanya application NACT, sasa anahofia KUTOCHAGULIWA hata pia na NACTE maana hawaeleweki. Aliaply Afya na Education.
Je, afanyeje? Msaada wa mawazo please.
Kuboronga au kufanya vizuri form six kutategemea sana na juhudi atakazowekeza katika masomo yake. Naona hoja ya kwamba aliendelea advance sababu hajui huko ataibuka na nini (huenda akaboronga) inawezekana isimsaidie sana.Mimi Simshauri aende Private School Coz Hajui Huko Advance Ataibuka Na Nini Kwani Huenda Akenda Akaboronga! Na vile vile Kutokana Na Hayo Matokeo Ni Wazi Kuwa Ataenda Kusom Art jambo Ambao ni Kujirisk yeye mwenyewe Kwa Hatma Yake Ya Baadae (I mean his/her Future Plan).
Sasa Ni jambo la Busara Kama Ana Vijihela Japo Kidogo Ni Bora Akatafute Chuo/College Akajiunge Akasome Certificate Kwani Anazosifa Za Kusoma Certificate Kwa Fani Ambayo itamuezesha Kuajiriwa au Kujiajiri.
Anaweza Ona Kuwa Kuanza Certificate ni Mizinguo, Lakini Ajuwe Kwamba Ndiyo Njia Peke itakayomsaidia Kufikia Malengo! Si muda mrefu Akitoka Certificate Ataendelea na Diploma, Baada Ya Diploma Ataendelea Na Digree, Wengi Wameanzia Huko Na Sasa Wana Digree za Maana.
Ni Ushauri tu Mkuu, Kama Haukukuridhisha Unaweza Utia Kwenye Dustbin.