Afande Sele ampa tano Rais Magufuli

incorruptible

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
62
Reaction score
46
Miaka kumi ya kaka yako madarakani wagonjwa wanalala chini Muhimbili huku nchi ikigeuzwa ya familia moja wewe ukishinda angani kwa safari za ughaibuni zisizo na tija lakini hukusema kitu

Leo mwenzio akiwa na mwezi mmoja tu Muhimbili vitanda kibao mpaka vimezidi idadi ya wagonjwa na madawa bwerere bei karibu na bure,t-scan, MRI mpyaaa halafu wewe unamkosoa,acha hizo Beka tunajua bro wako alikuandaa wewe uwe mrithi wake lakini Mungu aliipenda zaid Tanzania kuliko familia yenu,Go Pombe go, tumbua majipu Doctor.
 
Simba dume linaunguruma sasa baada ya ukimya sana
 
Hahahaha ila zitto noma ona sasa afande selle kapotelea hukooo daaa rudi ccm tu tule maisha afande selle
 
baada ya kule ACT kuwa kugumu anatafuta kiki ya kuingia CHICHIEM
 
Reactions: PNC
Jamaa ana ubongo mpana sana (critical thinking) but Akiamu kuzitumia.. Mnh!!!!
 
Huyu naye muziki umemshinda siasa zimemshinda amebakia na majungu
 
Aaache bange nae huyu jamaa si yalikuwa mawazo yake Membe !
 
Hii anajiandaa kutoa singo au ni ujumbe tu wa maneno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…