Nimeandaa notes za physical chemistry kwa ajili ya kidato cha tano na sita kwa kushirikiana na wenzangu tuliomaliza nao chuo kikuu cha Dar es salaam. Bahati nzuri kazi hii imepitiwa na idara ya usimamizi na uendelezaji pamoja na idara ya kemia chuo kikuu cha Dar es salaam.
Tumekwama fedha ya kulipia ili TIE waipitie kazi yetu na kutupa cheti cha ithbati... Maktaba na cosota tumeshamaliza kwa kupata ISBN na hati miliki.
Tunaomba ushauri na msaada tufanyaje kufanikisha kuingiza kitabu sokoni.... Kina ubora sana....