LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
huo umbea live!
sie hayatuhusu meen!!
hayo ni maisha ya pendo!!
Huyu jamaa mmbea sana.
atakua keshasutwa
mara kadhaa huko mtaani
kwa tabia hii!!
Kwa hiyo unafurahia sio? Kwann ufurahie mwenzio kupata tatizo.
Ndo maana alikataliwa. Mwanaume lazima uwe na mbinu za kutosha unapoanzisha mpambano.
atakua anabemendwa
sio bure!!
Me nimesema huyu ingekua vema km tungeona birth certificate yake ňna mashaka na age yake
Kwan wewe si ulikuwa wataka papuchi yake pia men are the same aim yenu kwa mwanamke mnapomtongoza ni m1 tu..... mbunye
anaweza kua uzao wa mulugo
tusimshangae sana!!akili nazo
tunarithi ujue!!
Anafurahia tabu za kipenzi cha moyo wake. Kweli huu ndio UPENDO wakweli. mmmmh!!Kwa hiyo unafurahia sio? Kwann ufurahie mwenzio kupata tatizo.
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa mapenzi akamdanganya akamdunga mimba jamaa hadi navyosema sasa ameshasepa,demu akarudi kwangu anibambikie mzigo{mimba} nikamfukuza sasa anajuta,ndiyo maana nikasema kabla hujafa hujaumbika na usimkufuru Mungu kabla jua halijazama.
jaman mulugo aingiaje hapa tena,kilaza asiyefikiri nini.hahaa