huo umbea live!
sie hayatuhusu meen!!
hayo ni maisha ya pendo!!
Huyu jamaa mmbea sana.
Kwan wewe si ulikuwa wataka papuchi yake pia men are the same aim yenu kwa mwanamke mnapomtongoza ni m1 tu..... mbunye
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa mapenzi akamdanganya akamdunga mimba jamaa hadi navyosema sasa ameshasepa,demu akarudi kwangu anibambikie mzigo{mimba} nikamfukuza sasa anajuta,ndiyo maana nikasema kabla hujafa hujaumbika na usimkufuru Mungu kabla jua halijazama.
huo umbea live!
sie hayatuhusu meen!!
hayo ni maisha ya pendo!!
siri zake mwenyewe anazitoa atashindwa kutoa za pendo? Au umemsahau huyo, si yule anaejisifia kubebwa na kupewa 0713 na mtoto wa kitanga?