inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 656
- 728
Ni ya zamani version gani? Ni zile zinazohitaji key wakati wa installation au zile za kuactivate baadae?Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi ukikapkua na kutakaku instal,inakataa na kukuambia hiyo software siyo genuine.Najua humu kuna wataalam,watusaidie nini solution.Mfano mimi niyo adobe ps nilipakuaga zamani lakini saa hizi nikitaka kuistal inagoma na kuniambia siyo genuine.Nahisi sina ujanja,msaada tafadhali.
cc Chief Mkwawa.
mkuu umepakua site gani msaada tafadhaliwewe ni muongo mimi nimepakua adobe zote latest za 2017 photoshop cs6,dream waever cs6, adobe after effect na nyingne zote zina run vizurii tuu
Adobe PS mpaka uicrack ndiyo inafanya kazi, download crack za Adobe PS uliyoidownload. Install kisha weka crack kwenye file husika.Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi ukikapkua na kutakaku instal,inakataa na kukuambia hiyo software siyo genuine.Najua humu kuna wataalam,watusaidie nini solution.Mfano mimi niyo adobe ps nilipakuaga zamani lakini saa hizi nikitaka kuistal inagoma na kuniambia siyo genuine.Nahisi sina ujanja,msaada tafadhali.
cc Chief Mkwawa.