Kuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!