zingatieni ushauri wana jf msiapply kampala university kina matatizo mengi kwanza mtaaala wa elimu wanaothumia utakufanya uwe nyuma kwa miezi minne dhidi ya wenzako walioaplly vyuo vingine na pia chuo hakijasajiliwa kwahiyo utapoteza mda wako kama wanaoendelea kugoma sasaivi
kumbuka kuna cutoff point za tcu na za kozi husika katika chuo utakuta kozi fulani tcu wameweka 2.5 mfano but chuo husika wameweka 3.5-4.0 hivyo uwe makini unapojaza kozi
mwambie aombe B. A pale cbe au Insurance pale IFM Anaweza akapata, kama ana wasiwasi zaidi ni bora akapige coz ya pre entry pale TIA baadae aingie accountancy au finance
Kwa mtazamo wenu ndugu mwaka huu Md watachukua point ngap!? Kwa serkali and private lk kcmc& cuhas make naona every body is after dat. ..da! Nooma saana