Nafikiri watatoa TANGAZO kuhusu admission letter...
Kwasababu huwa wanafanya hivyo..!
Sema nyie naona kama walichelewa sana kutoa majina yenu...
Coz siku zimeenda sana, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa mkaambiwa mtachukua admission letter mtakapoanza kuripoti chuo..!