Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
[emoji23] [emoji23]Majina ya "michepuko" yote nimesave ubin wawo.
Mfano Sanga, Mdegela,
[emoji23] [emoji23]mimi majina yote ya totoz nimesave mavitu ya ajabu ajabu,
khadija....dj khaled
pendo...playstore
Cleopatra....AK47
sasa siku nikihitaji kuongea na yeyote kati yao huwa natafuta namba mpaka natukana, maana nakuwa nimesahau nimesave jina gani, kuna mmoja alichukua simu yangu akaishika kisha kunipigia likatokea jina MSWAKI alimaind kishenz