Asie na akili muache aropoke. Hajijui.hajitambuiWAISLAMU KILA PEMBE NI VURUGU TU.
Nisiwe hivyo niwe vipi? Mnalishwa maneno na vyombo vya magharibi na njaa zeninayabeba mazima mazima.Mkuu usiwe hivyo...wale was lords resistance army walikuwa wanatajwa kabisa kuwa wanataka kutawala Uganda kwa kutumia amri kumi. Labda kipindi kile mitandao haikuwa imezagaa kama leo lakini nakumbuka hivyo ndivyo walivyokuwa wanaatajwa. Tena Koni alikuwa anaitwa prophet kabisaa.
Shida ni kwamba kwa upande wa hawa wanaoitwa wapiganaji wenye mlengo wa imani ya kiislam labda wamekuwa wengi au taarifa zinapatikana kwa ukaribu zaidi
Mkuu mbona wanatajwa sana hata wale central African republic wanatajwaNisiwe hivyo niwe vipi? Mnalishwa maneno na vyombo vya magharibi na njaa zeninayabeba mazima mazima.
aisee upo akilini mwangu inakuwaje washambulie kongo wakatiVOA wameripoti kifo kimoja na majeruhi 15 wahanga ni majeshi kutoka Tanzania.
Kitu nisicho kielewa ni kuwa hawa waasi ni wa Uganda yahani wanapinga Museveni na serekali yake. Sasa inakuwaje waishambulie Congo na kuuwa wakongo? . Huu siyo uhuni wa Museveni kweli?? Ilitarajia hujuma zao zielekezwe Uganda!
Eti ADF Naru ni waasi wa Uganda ila hujuma zao zote zimeelekezwa Congo!!!!!!!!!!!aisee upo akilini mwangu inakuwaje washambulie kongo wakati
uislam hustawi katika mazingira ya shida na kusongwa..ndio dini inayokua kwa kasi kuliko zote chini ya juaADF au ALLIED DEMOCRATIC FORCES halafu eti ni wapiganaji wa kiislamu lakini hatukusikia wale LORD RESISTANCE ARMY wakiitwa wapiganaji wa kikristo. Karne hii waislamu na hii fitna inayoendelezwa si ya kawaida. Menyezi Mungu atatupitisha salama.