Huyu jamaaa ujuaji mwiiiingi,mwisho wa siku tunapigwa bao,step down wewe mtu, tumechoka ngonjera zako.
ukiyashangaa ya Rage utayaona ya kina akilimali..
Kama unachanganyikiwa Simba,hamia Kandambili. Simba damu wenyewe tunaelewa kila jambo lina muda wake!Ndoo maana muda wa kupata mshiko wa Ngasa ulipofika ilibidi dogo auteme mzigo, Japo aliendelea kulialia oooh wamefoji!! Akaambiwa we tusikusikie unarudia neno hilo! kweli mpaka leo hajarudia tene kusema wamefoji!!! Chezea Simba wewe!!!
Fedha za Okwi alisha vuta na kununulia malori.