Aden Rage atapeliwa tena

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Watani zetu Simba...... hivi huyu kada wa CCM Aden Rage amewalisha nini?

The guy has been repeatedly goofing affairs in your club, and with impunity, lakini naona mnamwangalia tu.

Embu angalia hapa chini alivotapeliwa na "Waarabu" kwa kukosa umakini huku akiiburaza Simba yote kama anaswaga wanyama.

Huku akiendelea kuwadanganya wana Simba kuwa suala la Okwi eti ameliwasilisha FIFA, hao hao FIFA sasa wamemuidhinisha Okwi kuwa ni mchezaji halali wa Villa. Hiyo pesa anayoi dai kuipata ni ndoto baada ya haya maamuzi ya FIFA.

Hivi huko Simba kweli hakuna watu wanaoweza ku-think straight na kuamua kuwa sasa "we have had enough of Rage"?

Najua mtaniambia "pilipili ziko shamba........."


 
nilishasema simba ni kama makondoo na ukweli unazidi kudhihiri
 
Tatizo hizi club zetu kubwa hazina mwenyewe kwani hata wanachama wanachoangalia ni wananufaika nini kutoka kwenye club badala wao wanaifanyia nini club ili ikue, nadhani kuna haja ya wanachama kuwa na nguvu si katika uchaguzi tu bali hata katika kuiwezesha timu kimapato mwisho wa siku itaondoa mchezaji huyu kasajiliwa na kigogo huyu na mchezaji huyu kauzwa na huyu bila kufuata utaratibu kwani kila mtu atakuwa na uchungu na timu kwa kuwa ameshiriki kwenye kuiwezesha timu
 

At last.... someone in Simba thought straight today!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…