Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 May 31, 2013 #1 Kama kuna mtu yeyote anae jua kuhusu ada ya wanao soma certificate of nursing bugando naomba anijuze
nyamakonge JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 363 Reaction score 131 May 31, 2013 #2 Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa.
Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa.
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 May 31, 2013 #3 nyamakonge said: Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa. Click to expand... Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo
nyamakonge said: Mkuu bugando hawatoi certficate of nursing.wanatoa dip in nursing ada tsh lak 6.wanafunz wanachaguliwa na wizara.nadhan ume elewa. Click to expand... Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo
nyamakonge JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 363 Reaction score 131 May 31, 2013 #4 Dreson3 said: Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo Click to expand... mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu.
Dreson3 said: Kwa kuongezea angalau awe na mtu anaye mfahamu hapo Click to expand... mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jun 1, 2013 #5 nyamakonge said: mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu. Click to expand... Nilivyoelewa ni kuwa Bugando wanatoa Diploma ya Nursing, wanafunzi wanachaguliwa na Wizara ya Afya kupitia matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Unaweza kuingia kwa njia za panya kama kunamtu unamfahamu hapo chuoni
nyamakonge said: mkuu kumbe wote wanaosma nursng bugando wana wa2 wanafahamiana hapo?au una maana ip?awe na mtu? kwan bugando ndo wanachagua?au hii iko vp 2juze mkuu. Click to expand... Nilivyoelewa ni kuwa Bugando wanatoa Diploma ya Nursing, wanafunzi wanachaguliwa na Wizara ya Afya kupitia matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Unaweza kuingia kwa njia za panya kama kunamtu unamfahamu hapo chuoni
nyamakonge JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 363 Reaction score 131 Jun 1, 2013 #6 Ok njia za PANYA.
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jun 1, 2013 Thread starter #7 Bugando wana course gani ya certificate?
nyamakonge JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 363 Reaction score 131 Jun 1, 2013 #8 Haipo hata moja mkuu tryphone.