Habari Wana jamvi,Naomba kufahamishwa,Je ada kwa mwanafunzi aliyechaguliwa na tamisemi kujiunga na chip kwa ngazi ya diploma,Je ada ni tofauti na aliyeomba moja kwa moja Nacte?