Mohamedi Likoko
Member
- May 8, 2013
- 9
- 2
Kafungue kamusi ujifunze maana ya neno lukuki kisha urudi hapa tujadiliane, 83 unaiita lukuki kiongozi....please be serious.
Hiki chama kinaenda kuchukua nchi
Chama cha ACT - WAZALENDO leo kimevuna wanachama wapya takribani 83 katika kata mbili, ambazo ni Mafisa (52) na kata ya Mji mkuu (31), katika operesheni hiyo maalum ya kuhakikisha kata zote 29 za jimbo la morogoro mjini zinachukuliwa na chama cha ACT - WAZALENDO ni muendelezo wa mikakati ya kukirahisishia chama hiki kutwaa jimbo hili saa 7 mchana. operesheni hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa jimbo la morogoro mjini, bi mariam (mama faraji), katibu uenezi wa jimbo, James Luanda na Afisa habari wa jimbo ACT - WAZALENDO, bwana Mohamed Likoko.
ACT WAZALENDO ..... TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.
Jana Tunduma kiongozi mkuu wa chama kavuna wanachama 2000 kasahau hata kwenda kuwapa card wanachama 800 na viongozi maarufu 80 waliojiunga na chama hicho kutoka CHADEMA mjini Vwawa.
Hiki chama kinaenda kuchukua nchi
hao ni wale wanachama wa kupewa kadi bila kulipia yaani operation mtindo mbaya sana maana CCM Watazikusanya kwenye mkutano wa hadhara
Chama cha ACT - WAZALENDO leo kimevuna wanachama wapya takribani 83 katika kata mbili, ambazo ni Mafisa (52) na kata ya Mji mkuu (31), katika operesheni hiyo maalum ya kuhakikisha kata zote 29 za jimbo la morogoro mjini zinachukuliwa na chama cha ACT - WAZALENDO ni muendelezo wa mikakati ya kukirahisishia chama hiki kutwaa jimbo hili saa 7 mchana. operesheni hiyo inaongozwa na mwenyekiti wa jimbo la morogoro mjini, bi mariam (mama faraji), katibu uenezi wa jimbo, James Luanda na Afisa habari wa jimbo ACT - WAZALENDO, bwana Mohamed Likoko.
ACT WAZALENDO ..... TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.
Mzee ES,
Just as a matter of curiosity, nani Mkurugenzi wa SIMU 2000 Limited, baada ya huyo Maro kwenda huko SA?
Kajipange upya
Utavurugikiwa sana mwaka huu.
Kafungue kamusi ujifunze maana ya neno lukuki kisha urudi hapa tujadiliane, 83 unaiita lukuki kiongozi....please be serious.
Atachukua nchi ya ukoo wako na ukoo wake huko mwandiga