Kama anadhani kibiwa kura basi akafanyiwe vipimo vya ubongo
kweli mkuu hata Handeni CCM jana walishinda ACT wakasaini fasta na kuungana na wanaccm kuimba iena iena!Yaani hawa ACT ingelikuwa ni wa CCM ameshinda hapo angesaini FASTER!!!!!!!!! kama ilivyokuwa kwa Mgombea urais wa JMT jinsi alivyokubali haraka kwa sababu alitangazwawa CCM.
lakini hapa ameoan ni CDM ndio maana anakataa!!!!
Katika hali ya kushangaza, mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Megro Mollel amegoma kusaini matokeo ya uchaguzi japo amepata kura 342 tu kati ya kura halali 104,353 kwa kila alichodai kwanini Lema kashinda bila kutaja sababu ya malalamiko yake.
Katika uchaguzi huo mgombea wa CHADEMA. Godbless Lema ameshinda kwa kura 68,848 akifuatiwa na Amon Mollel wa CCM kwa kura 35,907