Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,739 Reaction score 5,703 Jul 2, 2015 #21 Non-Shatter said: Thubutu! hizi alinacha za Supreme traitor tumeshazisikia sana tangu 2012 anazungukazunguka tu. Click to expand... Vp mkuu umeahidiwa viti maalum nini?
Non-Shatter said: Thubutu! hizi alinacha za Supreme traitor tumeshazisikia sana tangu 2012 anazungukazunguka tu. Click to expand... Vp mkuu umeahidiwa viti maalum nini?
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,739 Reaction score 5,703 Jul 2, 2015 #22 Zanzibar-ASP said: Kiingie tena jijini Dar, wakati kilianzia Dar na kwenda ku-rebrand kule Kigoma. Viongozi wake wakuu wote wanaishi Dar siku zote na makao yake makuu yapo Dar. Hivi bado kinajitambulisha kwa watanzania wakati kimekuwepo zaidi ya mwaka sasa? Click to expand... Mkuu punguza kuweweseka,naona unauliza na kujijibu.
Zanzibar-ASP said: Kiingie tena jijini Dar, wakati kilianzia Dar na kwenda ku-rebrand kule Kigoma. Viongozi wake wakuu wote wanaishi Dar siku zote na makao yake makuu yapo Dar. Hivi bado kinajitambulisha kwa watanzania wakati kimekuwepo zaidi ya mwaka sasa? Click to expand... Mkuu punguza kuweweseka,naona unauliza na kujijibu.
N Non-Shatter JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 597 Reaction score 266 Jul 2, 2015 #23 Fungua akili yako acha kuizorotesha. Void ab initio said: Vp mkuu umeahidiwa viti maalum nini? Click to expand...
Fungua akili yako acha kuizorotesha. Void ab initio said: Vp mkuu umeahidiwa viti maalum nini? Click to expand...