Mnatuonea wivu tu...🤣Wanakera
Maboya sana yaniWanakera
Sio wivu...unakuta mtu anajishauashaua aaaa afu unamwona anashoboka nao kweli kweli..sasa unajiuliza hivi huyuuuu.......hupati majibu! Kwa mwanaume ni ulafaDahhhh.....
Pole sana mkuu, ila punguza wivu wa kike..teh[emoji851]
Na hatuachani ng'o...😜Maboya sana yani
Kwa mtu nzima Hayo ni Mambo ya ajabuMnatuonea wivu tu...[emoji1787]
Ni furaha tu mkuu...🤓Sio wivu...unakuta mtu anajishauashaua aaaa afu unamwona anashoboka nao kweli kweli..sasa unajiuliza hivi huyuuuu.......hupati majibu! Kwa mwanaume ni ulafa
Mtaachama tu..time will tellNa hatuachani ng'o...[emoji12]
AwapMnatuonea wivu tu...🤣
Furaha wapi uzombi huo!Ni furaha tu mkuu...[emoji851]