Acheni hizo warembo mnatubania sana!

Walaaniwe mabinti wote wanaobana PM..

Wasibarikiwe kabisaa tena papuchi zao zikose huduma muhimu...

Kuna kautafiti nakaribia kukamalizia..... mpaka sasa uelekeo unaonyesha mabinti wote wanaobana PM zao wana sura kama za baba zao na wala hawajui kunyoa nywele za chini.

Utafiti bado unaendelea
 
Avatar zinawachanganya wengi kumbe wengine kiuhalisia wana sura kama za baba zao wakubwa.

Kuna kamoja hako nilikabembeleza kaachie PM yake wazi ili nikape mchongo. Basi kakakubali kakaiachia tukapeana mawasiliano. Nilivyokutana nako nikajiuliza PM kalikuwa kanambania nani? Sura kama ngumi ya mwizi wallah...

Utafiti bado unaendelea...
 

kwe kwe kwe....
bonge la technique!! zitafunguliwa soon!!
 
Asiyependa papue lazima ana uhusiano na uhanithi. papue tamu asikudanganye mtu.

Ahsante Mungu kwa kutuletea huu utamu wa asili.

you nail it!!!
nothing like papue... umenionea wapi Heaven on Earth?
 
Last edited by a moderator:
Mnaleta michosho tu hamna ishu, waja pm kuuliza kama nasoma au vepe mfyuuuuuu wataka kunilipia ada teh

aah!! sinaga michongo yakitoto hivyo!!!
btw ukiifunga kwa swala hilo tu, ndiyo nini sasa?
 

Mmmmmmmmmmmh!!!!!
 

Kazi kwelikweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…