Acha Niselebuke...... Yatakasee Baabaaa.....

Seting yake ya cm hajaseti vizuri kwenye send by..... kaweka mobil only
 
nashindwa kuupload apa ila utafute unaitwa baikoko alafu uskilize vzuri utaskia

Oooohh nimeusikiliza.... na nimesikia anasema Kasi Matata aahahahahahaaa looh

Sijajua kama amenitaja mie au alimaanisha nini....


Una una mwendo Kasi Matata....... hapo ndo alipotaja ila sidhani kama alimaanisha Kasie Matata mie nafikiri ilikuwa ni kionjo cha kumsifia mwanamke kuwa anamwendo wa kasi ambao ni Matata aahahahhahahahahaaa

Kasie ni shiideeerrrr...
 

hahahaha kassie matataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…