Acha Niselebuke...... Yatakasee Baabaaa.....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Seebooo,.... Boss..... ale nipatie shawarma...... boss.....

Hhahahahahahahha haki ya nani utasema nimevutamsuba kumbeee niko soba asilimia 500 ila basi tuu. Shemeji alipoteuliwa tulicheza bolingo usiku kucha sasa shemeji ameondolewa basi acha tuu niselebuke maana ngoma ndo asili yangu.

Zamani zile hata kwenye misiba kulikuwa na ngoma na watu wanacheza kwelikweli. Basi baada ya kutunguliwa kutoka malmaka nyeti mie napiga bolingo tuu mwanzo mwisho maana tukianza kupga simu kutoa pole ni kumuongezea huzuni tuu. Ila kwa hili lisongi kwanza hata mwenyewe na shosti angu watanyanyuka tucheze sebene weeh hadi pakuchee.

Japo sio weekend ila ndo hivo mbiu ishalia na mie hadi ijumaa ifikee, ntakuwa nshamaliza santuri zote za kikongo.

Hapana chezea Papaa Koffi Olomidee tangu enzi zake hadi sasa bado ana bamba nikiunganisha na santuri za Falliipupa...... ni raha ndani ya burudani.



Haya twende pamoja.... kamatia kiuno sawasawa..... kalembe lembeee malembeee...

Yooukamotoo.... lile besi la Koffi mie hooiiii hahahahahahhahahaaa

Sheemeegiiiiiiii... makwandumeee baaabaaaa....

Swing swing..... asiyeweza kukata mauno akunje magotii au apakatie pakacha lake kitaeleweka tuu aahahahahahaaa😉

Seeeboooo Kasie....

Iloloo....

Kasie Bolingo Matata.
 
ww una shida sana

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Hivi inakuwaje hadi ujumbe huwa unatokea na aina ya kifaa unachotumia? Mfano hapo nasoma aina ya simu.... huwa najiuliza tuu na mie huwa inasoma aina ya kifaa ninachotumia?

Peepoo peepooo....... mukemuketo kitiii.........

Swing swing.... swing maaa.....

Seebooo..... ale nanipatia shawarmaa......

Kasie Shiiiderrrr Matataaa
 
kwa hyo unanicheka na simu yangu ya msaada [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Shida za Kasie zinakuburudisha eeehhh......

Umepakatia pakacha au unazungusha mauno? hehehehehehee

Vikigoma vyote hivo kunja magoti tuu vitakujaa aahahahahahaa

Tchuu tchuu tchuu..... ekubasilanangoteeee....

Kaleembee leembee.... maleeembeeee

Yoouka Mootooo.........

Tatakase maamaaa.... aaaggghhhh

Acha tuu Kasie mie niserebuke jamanii..... ahahahahaa
 
kassie matata [emoji39] [emoji39] serebuka tu alaf kuna nyimbo moja ya diamond amekutaja hv unaujuaga ule??
 
muache aserebuke nahc ata mkuyenge leo ataupokea tu maana ako na furaha

Na muachee tuu niserebukee aiseeeh....

Ikiwa inaingia huku nasikilizia.....

Yatakasee maaaamaaa..... Yatakaseee Maamaaaa....

Makandumweee maaanaaaa... (besi hilooo mie hooiii)

Ikianzaa aleeleee mama iyaanaaa..... hapo mauno yanachanganya hatari aahahahahhahaaaa

Ikifika ..... ale nipatie shawarmaaa ishatema tunaanza tenaa aahahahahahahhaaaa
 
duuh kikongo hko ni shida
 
kwa hyo unanicheka na simu yangu ya msaada [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Wapi nimekucheka?? wakati mie nimeuliza??!!

Basi wacha nikuchekeili shutuma ziwe za halali

aahahahahahahhahahahahhahahahaa

Alee mabeeekotiiii..... halafu kuna mahali kuna katusi hiviii kanasikika sijui nakasikia peke yanguu aahahahahhahaaa

Sasa usijesema nimekutukana weweee, muulize Koffi.
 
kassie matata [emoji39] [emoji39] serebuka tu alaf kuna nyimbo moja ya diamond amekutaja hv unaujuaga ule??

Toobaaah, Dai kanitaka Kasie Matata mie....

Hata sijausikia huo wimbo naomba niwekee hapa niusikilize kwa makini tafadhali.
 
mi mwnyew hata sijui nashangaa tu wanaandka na aina ya simu ila wajuzi wa mambo wanaelewa
 
duuh kikongo hko ni shida

Lugha yetuu, kongo asili yetuuu

Ndo maana muda wote sie ni ngoma na sie, sie na ngoma....

Hapo mambo yataendaa msuanoo.

Chuumaa chuumaa ekibasilanangoteeee......

Dusimaaa....dusimaaa.....

Kasie Mkongo Bolingo.
 
Toobaaah, Dai kanitaka Kasie Matata mie....

Hata sijausikia huo wimbo naomba niwekee hapa niusikilize kwa makini tafadhali.
nashindwa kuupload apa ila utafute unaitwa baikoko alafu uskilize vzuri utaskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…