Acha kulialia kisa mapenzi

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2015
Posts
5,136
Reaction score
8,387
"Unalikuta mtu na elimu yake, mwenye potential kubwa tu, analia tu kila siku, kisa mapenzi kuna watu huko duniani wanahitaji kuelimishwa, kuongozwa, kupewa moyo. mwenyewe yupo tu, amejisahau analialia tu huu mwaka wa tano analia ooh maumivu, ooh mapenzi hivi ooh mapenzi vile.kama umeshindwa kuishi bila mapenzi jaribu kuishi bila kula tukuone."

#growup
#unaboa
#acha ujinga
#wa kulia uwe wewe daily
#move on
 
Ujumbe huo peleka kwa kundi lako watsup... hauna hadhi hapa.
 
Ingawa maumivu ya mapenzi ni makali sana ila ni kweli lazima maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…