NAONA ULIKUWA UNATAARIFU UMMA KUWA ULIKUWA WAKALA WA MTANDAO WA TIGO MUDA SANA KIASI CHA KUULETEA MATATIZO MTANDAO MAMA TTCL KILA MARA NETWORK YAKE INASUMBUA KISA WEWE KUWA WAKALA WA MTANDAO MWINGINE, SI MBAYA KUKIRI NA KUACHA ILA NI MBAYA ZAIDI KUENDELEA KUFANYA LICHA YA KUKIRI KUACHA, JITAHIDI KUSIMAMA HIVYO HIVYO MAANA SAIKOLOJIA WANASEMA UKISHINDA MAZINGIRA YA VISHAWISHI BASI UMEISHINDA TABIA, TIBU MAZINGIRA YANAYOSHAWISHI WEWE KUFANYA HIVYI KWANZA UONE KAMA TABIA HUTAISHINDA.Kwa sasa michezo ya Amber Ruty imekuwa fassion sana na aghalabu ukikutana na mwanamke akakupa Tigo ukakataa anakuona ***** au mshamba kabisa!
Kama kawaida ya sisi vijana tumekuwa na curiousity/hamu kutaka kufahamu kila kitu ndio maana wengi wetu tumejikuta kwenye mchezo huu wa kishetani kwani ni kinyuma na dini zote.
Kwa kufanya michezo hiyo nimejikuta siishiwi na UTI mbaya zaidi michezo hiyo naifanya nje ya ndoa alafu mayutiai/UTI namletea na wife home kila siku mtoto wa watu anakunywa Azithromyzine but invain mana kila baada ya siku 7 naenda kufukua mitaro.
Nimeumiza kichwa sana ndipo nilipogundua kuwa tatizo ni mimi yani KUCHIMBA mtaro wa maji taka alafu choo nakitoa chooni napeleka bafuni.
Nimeamua niache kabisa michezo ya Amber Rutty niepukane na UTI za kujirudiarudia ambapo kitaalamu ni kwamba magonjwa ya zinaa ya kujirudiarudia kwa mwanaume na mwanamke ni hatari sana kwa afya yake ya uzazi.
My take;
Wanaume wote tunaojali afya zetu na kumwogopa Mungu tuache kuf!ra ili tulinde afya zetu na pia tumrejee Muumba tutasamehewa.
Kuteleza sio kuanguka.
Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya anaejihusisha na uchafu huo.Sijui alaumiwe nani kwa kuuleta mchezo mchafu duniani. Na sijui alikuwa anawaza nini wakati anauanza ?
Shida tamaa ya kujaribu jaribu kuonjaMbona mbele kutamu Tu.shida nini?
KaribuShukran kwa ushaur wako mkuu.
UTI itafanya mirija yako makazi yaoSiachi
Ile harufu ni stimulator [emoji13]Mna ingiaga na spray au maana sio kwa harufu iyo
Asante mkuuNAONA ULIKUWA UNATAARIFU UMMA KUWA ULIKUWA WAKALA WA MTANDAO WA TIGO MUDA SANA KIASI CHA KUULETEA MATATIZO MTANDAO MAMA TTCL KILA MARA NETWORK YAKE INASUMBUA KISA WEWE KUWA WAKALA WA MTANDAO MWINGINE, SI MBAYA KUKIRI NA KUACHA ILA NI MBAYA ZAIDI KUENDELEA KUFANYA LICHA YA KUKIRI KUACHA, JITAHIDI KUSIMAMA HIVYO HIVYO MAANA SAIKOLOJIA WANASEMA UKISHINDA MAZINGIRA YA VISHAWISHI BASI UMEISHINDA TABIA, TIBU MAZINGIRA YANAYOSHAWISHI WEWE KUFANYA HIVYI KWANZA UONE KAMA TABIA HUTAISHINDA.
Kwanini mkuu?Mh mi simuamini mleta uzi sijui nyinyi
Wewe ndiye Mungu sio?Hauendi mbiguni wewe
Karibu
Ndio hivyo atakuwa alikuwa anakufukua mtaro mavi anatoa chooni anaweka sebuleniKumbe ndo maana nilivyokua na yule bwege U.T.I haziniishii???[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Mdau anajitangaza hapo, anatafuta wateja wapya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]NAONA ULIKUWA UNATAARIFU UMMA KUWA ULIKUWA WAKALA WA MTANDAO WA TIGO MUDA SANA KIASI CHA KUULETEA MATATIZO MTANDAO MAMA TTCL KILA MARA NETWORK YAKE INASUMBUA KISA WEWE KUWA WAKALA WA MTANDAO MWINGINE, SI MBAYA KUKIRI NA KUACHA ILA NI MBAYA ZAIDI KUENDELEA KUFANYA LICHA YA KUKIRI KUACHA, JITAHIDI KUSIMAMA HIVYO HIVYO MAANA SAIKOLOJIA WANASEMA UKISHINDA MAZINGIRA YA VISHAWISHI BASI UMEISHINDA TABIA, TIBU MAZINGIRA YANAYOSHAWISHI WEWE KUFANYA HIVYI KWANZA UONE KAMA TABIA HUTAISHINDA.
Potelea mbaliUTI itafanya mirija yako makazi yao
KAMA KAWAIDAKama kawaida naona umerudi kwa speed ya 5g