bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Nov 7, 2013 #1 Betri ya acer mini Laptop naweza pata wapi ndugu zangu?Na bei yake ikoje maana kakwangu kamezingua betri bana.
Betri ya acer mini Laptop naweza pata wapi ndugu zangu?Na bei yake ikoje maana kakwangu kamezingua betri bana.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Nov 7, 2013 #2 Pole sana mkuu!nenda pale karibu na billicans club,ulizia duka linalouza vifaa vya komputa!kuhusu bei sijui mkuu!
Pole sana mkuu!nenda pale karibu na billicans club,ulizia duka linalouza vifaa vya komputa!kuhusu bei sijui mkuu!
bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Nov 7, 2013 Thread starter #3 asante mkuu
bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Nov 7, 2013 Thread starter #4 TUKUTUKU said: Pole sana mkuu!nenda pale karibu na billicans club,ulizia duka linalouza vifaa vya komputa!kuhusu bei sijui mkuu! Click to expand... Asante mkuu nimekusoma.
TUKUTUKU said: Pole sana mkuu!nenda pale karibu na billicans club,ulizia duka linalouza vifaa vya komputa!kuhusu bei sijui mkuu! Click to expand... Asante mkuu nimekusoma.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Nov 7, 2013 #5 Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Nov 7, 2013 Thread starter #6 LORDVILLE said: Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi... Click to expand... Hii nayo kitambo ndugu yangu.Nilipewa zawadi.
LORDVILLE said: Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi... Click to expand... Hii nayo kitambo ndugu yangu.Nilipewa zawadi.
B BxAarfa JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 700 Reaction score 119 Nov 9, 2013 #7 LORDVILLE said: Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi... Click to expand... Hahahahaha mkuu mm napenda kwa matumizi ya kawaida tu najua sio madhubuti kulinganisha na hizo laptop za kawaida Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
LORDVILLE said: Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi... Click to expand... Hahahahaha mkuu mm napenda kwa matumizi ya kawaida tu najua sio madhubuti kulinganisha na hizo laptop za kawaida