J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 15, 2017 #1 Habari wana jamvi Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 . Nipo Mbweni - Dar es salaam
Habari wana jamvi Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 . Nipo Mbweni - Dar es salaam
Mohamedy cadinaly JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 2,449 Reaction score 2,264 Feb 15, 2017 #2 Upo wap
Mohamedy cadinaly JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 2,449 Reaction score 2,264 Feb 15, 2017 #3 Weka specifications zake
Buyaka JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 1,781 Reaction score 2,077 Feb 15, 2017 #4 jopss said: Imenunuliwa miezi 6 iliyopita Click to expand... Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward. Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
jopss said: Imenunuliwa miezi 6 iliyopita Click to expand... Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward. Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 15, 2017 Thread starter #5 Dar Mohamedy cadinaly said: Upo wap Click to expand... Dar mkuu
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 15, 2017 Thread starter #6 Bu'yaka said: Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward. Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini. Click to expand... Imetumika miezi sita. Nashukuru kwa marekebisho.
Bu'yaka said: Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward. Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini. Click to expand... Imetumika miezi sita. Nashukuru kwa marekebisho.
AL SADY OLPLANER JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 294 Reaction score 218 Feb 15, 2017 #7 mh.mim nahitajii hiyo laptop lakini laki 2 cash ipoo .....+249129790575 WHATSAPP
mazagazagaa JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 290 Reaction score 209 Feb 15, 2017 #8 jopss said: Habari wana jamvi Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 . Nipo Mbweni - Dar es salaam View attachment 470851 View attachment 470852 View attachment 470853 Click to expand... 250,000 ipo mkononi saivi, chukua mkuu nipo dar weka specifications za ram, hdd, na processor
jopss said: Habari wana jamvi Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 . Nipo Mbweni - Dar es salaam View attachment 470851 View attachment 470852 View attachment 470853 Click to expand... 250,000 ipo mkononi saivi, chukua mkuu nipo dar weka specifications za ram, hdd, na processor
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 15, 2017 Thread starter #9 mazagazagaa said: 250,000 ipo mkononi saivi, chukua mkuu nipo dar weka specifications za ram, hdd, na processor Click to expand... Intel Celeron M 560 2.13 GHz Single Core Processor, 1GB Memory . DVD writer
mazagazagaa said: 250,000 ipo mkononi saivi, chukua mkuu nipo dar weka specifications za ram, hdd, na processor Click to expand... Intel Celeron M 560 2.13 GHz Single Core Processor, 1GB Memory . DVD writer
mazagazagaa JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 290 Reaction score 209 Feb 15, 2017 #10 jopss said: Intel Celeron M 560 2.13 GHz Single Core Processor, 1GB Memory . DVD writer Click to expand... ok hdd ngapi
jopss said: Intel Celeron M 560 2.13 GHz Single Core Processor, 1GB Memory . DVD writer Click to expand... ok hdd ngapi
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 15, 2017 Thread starter #11 mazagazagaa said: ok hdd ngapi Click to expand... 160 GB Hdd
mazagazagaa JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 290 Reaction score 209 Feb 15, 2017 #12 jopss said: 160 GB Hdd Click to expand... daaaah mkuu hiyo bei yako ni kubwa sanaaa... mimi na deal na hizo pc hapa kariakoo... but pamoja sanaa
jopss said: 160 GB Hdd Click to expand... daaaah mkuu hiyo bei yako ni kubwa sanaaa... mimi na deal na hizo pc hapa kariakoo... but pamoja sanaa