Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 189
Next level,
i have sent you my CV, thanx.
You're scaring me!.
Watu kimyaaaaaaaaaaaaa!
Ina maana Bongo ajira sio tatizo eeeh....au tatizo ni vigezo vya kazi? Yaani tangazo lipo hapa for two days, nimepata just one response?
Wengine hata CPA/ACCA bado haijamalizika ndo mana kimya!..Na ni kati ya kigezo muhimu kinachohitajika...tujaribu tu??
Ungemalizia na miaka inakaribia 47.....hehee! wao wanataka usizidi 35
We acha tu,vigezo vingi hatuna..pia mmh!...ze jasusiz wasiwasi...[/QUOTE]
Henheee, your are very machaleable!
wiz mtupu
Wengine hata CPA/ACCA bado haijamalizika ndo mana kimya!..Na ni kati ya kigezo muhimu kinachohitajika...tujaribu tu??
Je huko hakuna kazi ya kufagia au any manual labour? nataka kubadili profession ya kazi yangu ya ofsini ya sasa ili kupunguza hiki kitambi! Kwi kwi kwi!!
Bwana next level wewe unataka watu wakutumie cv?? Kwanza tutakuaminije wewe kama sio watu wanaotaka kuchunguza baadhi ya member wa jf. Ukitumiwa cv ina maana una details zote za mtu husika. Hata kama ningekuwa jobless situmi cv yangu....uwt
We acha tu,vigezo vingi hatuna..pia mmh!...ze jasusiz wasiwasi...