nicolas150 Member Joined Oct 16, 2016 Posts 26 Reaction score 15 Sep 13, 2019 #1 Habari wakubwa kwa anaweza niuzia account ya Netflix ani contact kwa namba hii #0768817939
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Sep 13, 2019 #2 Si ununue online tu,, siku hizi kuna virtual card nyingi tu
nicolas150 Member Joined Oct 16, 2016 Posts 26 Reaction score 15 Sep 13, 2019 Thread starter #3 Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Sep 13, 2019 #4 nicolas150 said: Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa Click to expand... Kama ni Master card ya voda,ilink na paypal,halafu tumia paypal kulipia,,,,
nicolas150 said: Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa Click to expand... Kama ni Master card ya voda,ilink na paypal,halafu tumia paypal kulipia,,,,
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Sep 13, 2019 #5 nicolas150 said: Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa Click to expand... Nenda bank kama Stan Chart, FNB fungua account, wakupe Visa Card. Weka hela. Fungua account, weka details za account yako, you are good to go. Mtu akikuuzia account, atatoa kadi yake, kazi inakuwa sawa na bure.
nicolas150 said: Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa Click to expand... Nenda bank kama Stan Chart, FNB fungua account, wakupe Visa Card. Weka hela. Fungua account, weka details za account yako, you are good to go. Mtu akikuuzia account, atatoa kadi yake, kazi inakuwa sawa na bure.
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,103 Reaction score 2,774 Sep 14, 2019 #6 Mm natumia apk nateleza freeee
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Sep 14, 2019 #7 FUTURE HUNTER said: Mm natumia apk nateleza freeee Click to expand... Naomba link
nicolas150 Member Joined Oct 16, 2016 Posts 26 Reaction score 15 Sep 14, 2019 Thread starter #8 Lete hiyo link mkuu FUTURE HUNTER said: Mm natumia apk nateleza freeee Click to expand...
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 Sep 15, 2019 #9 nicolas150 said: Habari wakubwa kwa anaweza niuzia account ya Netflix ani contact kwa namba hii #0768817939View attachment 1206643 Click to expand... Sh ngapi unatoa?
nicolas150 said: Habari wakubwa kwa anaweza niuzia account ya Netflix ani contact kwa namba hii #0768817939View attachment 1206643 Click to expand... Sh ngapi unatoa?
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,103 Reaction score 2,774 Sep 15, 2019 #10 Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. nicolas150 said: Lete hiyo link mkuu Click to expand...
Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. nicolas150 said: Lete hiyo link mkuu Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,069 Reaction score 184,791 Sep 15, 2019 #11 Hazihuziki... Nikikuuzia account yangu means nakuuzia with my personal details za malipo... Cc: mahondaw
Hazihuziki... Nikikuuzia account yangu means nakuuzia with my personal details za malipo... Cc: mahondaw
M Mbigilikavu Member Joined Aug 7, 2019 Posts 19 Reaction score 7 Sep 15, 2019 #12 FUTURE HUNTER said: Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. Click to expand... Naomba ni dm au pm na mm kama hutojali
FUTURE HUNTER said: Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. Click to expand... Naomba ni dm au pm na mm kama hutojali
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Sep 15, 2019 #13 FUTURE HUNTER said: Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. Click to expand... Naomba namie
FUTURE HUNTER said: Nime ku dm.ni gor android users only.enjoy the ride. Click to expand... Naomba namie
kasambalakk Senior Member Joined Apr 2, 2011 Posts 126 Reaction score 17 Sep 16, 2019 #14 FUTURE HUNTER said: Mm natumia apk nateleza freeee Click to expand... Naomba link ya netfix
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,103 Reaction score 2,774 Sep 16, 2019 #15 Hii hapa mlioomba wote.View attachment Netflix Mod (Gozylo).apk
Graph JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 2,735 Reaction score 6,170 Sep 16, 2019 #16 FUTURE HUNTER said: Mm natumia apk nateleza freeee Click to expand... Acha uongo. APK ni installation file tu ya netflix, hata uwe na APK yao huwezi tumia service yao bila kua na subscription.
FUTURE HUNTER said: Mm natumia apk nateleza freeee Click to expand... Acha uongo. APK ni installation file tu ya netflix, hata uwe na APK yao huwezi tumia service yao bila kua na subscription.
M Mbigilikavu Member Joined Aug 7, 2019 Posts 19 Reaction score 7 Sep 20, 2019 #17 Hii imechokonolewa hivyo download for your own risk