Access bank

Mwafricani

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
18
Jaman wapendwa VIP tulio apply kunayeyote aliye itwa kwenye usail make Daa
 
jifunze kuandika vizuri,acha kuandika kihuni huni.
 
Ni post gani...kama loan officer watu watakuwa wameshaanza na kazi kabisa maana interview ya kwanza ilifanyika tar 5
 
Kama zile post za marketing assistance kuna watu walifanya written interview sijui washaita tayari?
 
wataanza kazi rasmi february! ila wataenda atachment branches mapema january then wataenda 3 wks training baada ya hapo ndo waanze kazi rasmi
 
jiajiri au njoo mafinga kupasua mbao mzaz mi na degree mila nkijaribu namaliza usahili unaambiwa utaitwa kimya napasua mbao mafinga safi nakula
 
jiajiri au njoo mafinga kupasua mbao mzaz mi na degree mila nkijaribu namaliza usahili unaambiwa utaitwa kimya napasua mbao mafinga safi nakula

Angalia usitumalizie miti lakini....! ukumbuke na kupanda miti mingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…