Hawa jamaa hawana centre moja. Wao huwa wanakodi ukumbi halafu wanapeleka "invigilators" wao kwa ajili ya kusimamia mitihani. Mara moja walifanya Ubungo Plaza, wadosi wakalalamika kichizi kwani ndo wengi wanaofanya mitihani hii. Wengi wao toka wazaliwe hawajawahi kuvuka Fire, Salender Bridge, Kamata n.k. (yaani wanaishi City Centre na Kariakoo tu). Hivyo wakabadilisha na wanatuma cetre kwa wale tu waliojiorodhesha na kulipia. Hivyo kama umelipia na una account katika site yao basi Login na utajua mwaka huu watafanyia wapi wanawekaga na ramani