Kanoutinho
Member
- Jul 22, 2012
- 9
- 1
asante mkuu kwa moyo wa kutoa info.mimi huwa nachukia sana ninapokutana na kitu kinachoitwa experience, hii ni changamoto kwa fresh graduates kwa kweli wanapata shida sana wakiona hiki kipengele, lakin hawa ndugu hawajasema kuwa lazima uwe na experience ya miaka 3-8
MIMI NACHUKIA SANA HIZO G.P.A ie 3.5 au wengine 4 and above. Sio kila mwenye GPA kubwa anaweza akafanyakazi kwa usanifu na kama inavyotakiwa.
ACB hawaangalii G.P.A ,ACB wanapenda sana ukabila nilifanya interview yao moja wakaniuliza "wewe kabila gani?,wazazi wako wanafanya kazi wapi? yaani ilikuwa ni interview ya kikabila sana kwani tulikuwa nane (mchaga moja,saba wanatanzania) nakila aliyeingia aliulizwa ww kabila gani na lazima ataje kazi ya wazazi wake.

duh hii hatar, jaman tuambie wao ni makabila gan il 2jue