ACACIA: Kutokana na tofauti kubwa, kunapaswa kuwe na ukaguzi huru juu ya kiasi cha madini kilichopo

Kwani unadhani haijulikani kuwa kuna madini mengine. Hiyo inajulikana, ishu yapo kiasi cha kuchenjua na kupata faida. Hivi unajua udongo tunaokanyaga nimadini tupu, je unaweza kuchenjuakutoa iron,copper, kaolin na madini mengine.
 
Kudanganya wanadanganya hiyo sio uongo, lakini sio kwenye ishu ya grade za madini, hapo ndio siwezi kuamini
 
Mimi ni mtalaam wa madini. Nimefanya Buly kabla yako. Nimefanya migodi mingine ndani ya Tanzania. Nimefanya South America, West Africa, na pia nimewahi kuongoza timu za wataalam kwenye DFS nje ya Tanzania.

Namfahamu Mruma, namfahamu Ikingura, wote vizuri sana.

Kwa ujumla wataalam hawa wameaibisha taaluma na wataalam wa Tanzania kwa ripoti kama ile.
 
labda utuambie kwa nini serikali inaogopa kuwakabidhi full report na methodology zote walizotumia kufikia kwenye matokeo yao?hata wewe kimoyomoyo ushaanza kustuka kuwa kamati inawezekana wakawa ni kituko cha dunia kwa ile ripoti yao...
Ivi lowasa au naheem na mohamed gire walikabidhiwa report ya RICHMOND?
 
 
Umefanya Buly kabla yangu umejuaje?

Kwa jibu hilo tu sidhani kama naongea na mtu anayejua sayansi.

Kwa sasa tunasikia tu kuhusu ripoti. Ngoja tuipate ndo tutaongea vizuri.

For the time being nasimama timu Tanzania
 
Na yale makontena mwenyekiti alimwambia atamuonyesha mheshimiwa rais ni yapi au ndio haya 277?
 
Wameshikwa pabaya ACACIA wanahaha watulie report mbona zipo wazi hadi kwenye mtandao wanahitaji zipi zaidi wasituzengue hao wezi tu
 
I did not say they have claimed so, but it was a reminder to them.
Do not tell me that to appreciate the importance of information flow, you need to have been an investor. I do not know how you back up your illogical assertation. I Did not say that information is not important, what however I did say is that It is awkward and irrational for them to respond to the report which they have not read themselves
 

Hujui unachosema. Wafanyabiashara wengi wana kesi na TRA na haimaanishi wote wameiba. Kodi ni matter of interpretation of the law.

Kuna wanaosema VAT ni kwa mfanyabiashara na mwingine anasema ni kwa mlaji wa mwisho. Kidata na Ndulu.

Kesi zitakuwepo tu hususani sekta ya madini. Tafuta afisa wa TRA au mwalimu wa kodi akufundishe.

DSE wanaonyesha vitabu vingine na LSE wanaonyesha vingine na CMSA na FCA wapo kimya.

Aliyetunyima elimu Tanzania alaaniwe.
 
summary of the findings is out there for everyone to see and they too have responded with a summary,besides,the summary was too televised on a national television....they need the whole report with specifics
 
Unafanya reconciliation baada ya kutangaza? Kumbuka Mkuu ashaapokea taarifa.
 
tuiombee nchi yetu tuvuke tupate pesa kokote tushinde mpaka mahakamani na wanazidi kutufungua kuwa na wao
wanajipanga wanadai utafiti si wa kweli container wanazo wao?
 
It is true that this is our country and we deserve the best from our resources,but we shouldn't ignore the fact that they are here legally and we have contract with them which as of now is still valid. We need therefore to make sure that whatever we are doing cannot backfire on us.

Acacia, from business perspective they have all reasons to clarify on the issue, regardless of the clarity of information they have at the moment, it is all about credibility of their company.
 
Naona point hapa acha tusubiri. Maana ujanja ujanja mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…