Abraham Lincoln

in that case, I guess we should not believe him too..... if u know what I mean...
 
If you won't believe I won't either
 
sidhani kama amesema hata hayo maneno
 
GUYS.. point hapa ni kwamba usiamini kila kinachotupiwa kwenye internet eti kwa kuwa kuna maneno na picha pembeni yake, na mfano huo upo hapo hapo kwenye hiyo picha, maana wote mmegundua Lincoln hajawahi kusema maneno hayo.. hali kadhalika usiamini na picha zingine zenye quotes kama ambavyo hukuamini kuwa maneno hayo(kwenye picha) yamesemwa na Lincoln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…