Sasa kwanzia hapo 1980 kurudi nyuma huko ndio kulikuwaga balaa zaidi aisee ,, yaani hao wazee wa zamani walikuwa wanapenda chini sana shauri ya madawa waliyokuwa wakitumia na vyakula .... sisi wasasa hiavi hatuna kitu wala hatuna jipya na maradhi ni mengi sana , na mademu hawa wamekuwa wazinguaji tu