whitedoug3
Senior Member
- Nov 6, 2014
- 108
- 26
Kwanza acha kusikiliza nyimbo na anza kuishi kwenye real world.If a boy (player) loved a girl enough, he could do anything for her
Ila ni raha sana "to play around" na kuumiza mioyo ya wanawake.
Wanawake wazuri wanawapenda sana players cause wanajua kuwapa kile wanachotaka.
Players wanajua jinsi ya kupanga maneno yao vizuri sana.
Ila ni raha sana "to play around" na kuumiza mioyo ya wanawake.
Kwani mpaka sasa ushumiza mioyo mingapi ya wanawake...? Huh
Kwanza acha kusikiliza nyimbo na anza kuishi kwenye real world.
The above gender applies to bother gender either player or not. Love is the strangest thing ever happened!
Madogo wanataka kuishi maisha ya tamthilia.... too bad.
Mkuu kwani hakuna girls ambao ni players..? Through ur experience!!
Ila ni raha sana "to play around" na kuumiza mioyo ya wanawake.
Ila ni raha sana "to play around" na kuumiza mioyo ya wanawake.
Muosha huoshwaa!!
Hapana siyajui.... We unayajua?Dnt judge a book though its cover mkuu... Maisha ya tamthiliaa unayajua mkuu,,?