Ni ubinadamu tu ndugu yangu. Ukiona mwenzio anapambana kujitafutia ridhiki yake kwa njia halali kabisa ni vizuri ukamuunga mkono. Kama huna cha kuunga mkono ni afadhali ukajikalia kimya tu. Haya mambo ni mzunguko, leo kwake kesho kwako na dunia hii haina mtaalamu