Kama kuimba ni rahisi hivyo toa single yako tuisikie.😀😀😀😀
yani mtu kachukua kalamu na karatasi kaandika kwa kurudia rudia neno "single" kisha kaenda studio katafuta melody na kuingiza neno single kwa kurudia rudia kwenye beat kwa dakika mbili na ushee halafu wanakuja kutuambia ni wimbo tena wanadai ni mpya!!!
Waache dharau hawa vijana!
Papa ya sepenga haijawahi muacha mondi salamahy daimond analialia tu kila siku bongo muvi akwende
UmenenaKila msanii ana ladhayake nyimbo unayo iyona mbaya wewe mwenzio ana iyona ni nzuri na unayo iyona nzuri wewe mwenzio anaiyona mbaya,Amani kwake 20%pasent nime miss sana huyu jamaa sijui kaishia wapi