PreGE2025 Abdallah Bulembo aahidi milioni 3 kwa ukarabati wa jengo la Parokia ya Kome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

 
Tusichanganye dini na siasa, ila
Tuchanganye siasa na dini
 
well done Abdalah 💪👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…