Kutoielewa hii text yake tu inamtoa m/make kwenye sifa anazozihitaji mana ni nadra mtu afike mpaka university then asielewe hiyo textKingereza...![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aagghhrrr nayeye kwani anatafuta tutorial assistant ndan kwake au anatafuta mwanamke khaa eti recognized universityKutoielewa hii text yake tu inamtoa m/make kwenye sifa anazozihitaji mana ni nadra mtu afike mpaka university then asielewe hiyo text
[emoji2] [emoji2] Huku mtaani kuna familia moja baba msomi,watoto wasomi (wale wa st.flani st.flani )asa mama pekee ndo hajui kimombo na huyo baba huwa anapenda sana kuongea na wanae kimombo. Mama wa watu utamuonea huruma mana utasema ni bubu huwa yupo kimya tu kuwasikiliza wao. Pengine labda huyu jamaa anataka aepukane na hii haliAagghhrrr nayeye kwani anatafuta tutorial assistant ndan kwake au anatafuta mwanamke khaa eti recognized university
Some of my characteristics
1. I am between 30 to 40 years.
2. A man, not a boy and well matured.
3.Roman catholic by religion.
4. Employed and woking on self project as an entrepreneur
5. Graduate from recognized university.
6. Not fat ; not short and not super tall.
The characteristics of woman needed:-
1. A woman who is grown up and aged between 25 years and not more than 35 years.
2. Religion : any but should know that I am Catholic by religion.
3. She must be portable with good looking figure - african figure
4. At least she must be a Graduate from a recognised university and employed or self-employed.
5. She must be Tanzanian .
6. A woman who is able to challenge me as hubby and share ideas for the development of our future and our family.
Mode of communication for serious women :
Send your Pm with enough description of your characterists as per the above requirements.
If your a student or not well matured as a woman don't waste your time.
Thank you in advance for your cooperation.
Mkuu sa hivi waoaji wanakwepa wanawake walitoa chuo then wewe unaenda huko huko? Ama ndio njia ya kukwepa mahari baba, HESLB ni moto wa kuotea korogweSome of my characteristics
1. I am between 30 to 40 years.
2. A man, not a boy and well matured.
3.Roman catholic by religion.
4. Employed and woking on self project as an entrepreneur
5. Graduate from recognized university.
6. Not fat ; not short and not super tall.
The characteristics of woman needed:-
1. A woman who is grown up and aged between 25 years and not more than 35 years.
2. Religion : any but should know that I am Catholic by religion.
3. She must be portable with good looking figure - african figure
4. At least she must be a Graduate from a recognised university and employed or self-employed.
5. She must be Tanzanian .
6. A woman who is able to challenge me as hubby and share ideas for the development of our future and our family.
Mode of communication for serious women :
Send your Pm with enough description of your characterists as per the above requirements.
If your a student or not well matured as a woman don't waste your time.
Thank you in advance for your cooperation.
Shost kwani African figure ndo ikoje?Uwiii hizo characteristics nipo tatizo ni hiyo no 3 sina African Figure [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Ubora ni miaka...Eti if you not well matured. Kama wineππ
hahaaaaUbora ni miaka...