A very touching story, never judge anyone


hivi Mr Rocky umewah kujua kwanini hawadumu? kama hujui miye nakupa sababu. Mungu huwa anawivu sana hasa pale mwanadamu anapombadili kwa kitu kingine. Mtu wa aina hii watu hufikia kuish wakimtegemea yeye na wengine hudiriki hata kusema yaani huyu ndio kila kitu kwangu. sasa heshima zinapozidi kwake, na kila mtu kumuona kama msaada Mungu huwa anakasirika sana na anasema sifa zimrudie yeye basi sisi wema autendao mtu tunaurudisha sifa kwa mtu badala ya kumpa Mungu. hii ndio maana anakufa ili sasa tuone kama watu wataendelea kumuabudu ama kumwinua yeye akia maiti.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…